Hii ni special kwako Tamu yangu

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Naomba utunze heshima, ulilinde na jina
Nimekukabidhi mtima
Aliyenipa karima,

Yooote nimekubali Mimi .
Me niko tayari niamini,

Nikiwa chizi ni wewe,
Aaah eeh,

We ndo sababu,
Sitaki moyo wangu uchezewe
Aaah eeh,
Ntapata tabu,
Nnachotaka kuzaa na we
Aaah eeh (pendo lako la dhahabu)
Nije kuzeeka nawe
Aah eeh,
(bibi na babu)

Wanakutamani haoo
(Mwenzako nia ninayo )

Wanakutamani haoo
(mwenzako nia ninayo)

Wanakutamni haoo
(me nawajua baby)

Me nawe waarabu kwa wapemba (baby)
Twajuana kwa vilemba (baby)
Sikuachi hata wani'ngoe kwa difenda (baby)
Wasije kukudanganya kwa punje za mtama ,

Yako thamani mwingine sijaona,
Wanakutamani hao
(me nawajua baby)

Wanakutamni haoo
(mwenzako nia ninayo)

Wanakutamani haoo.
(achana nao baby)

Moyo wangu me nakupaaa,
Usasambue,
Usasambue,

Me nakupa,,
Usasambue
Usasambue

Basi ufanye unavyotaka,
Usasambue
Usasambue

Uubakishe mifupa
Usasambue
Usasambue

Uniburuze Kama guta
Usasambue
Usasambue

Hii ni special kwako wewe tamu yangu najua humu jf au popote ulipo (jua Pancho nakupenda)
Japo nimekosea kutype ila Ujumbe ukufikie tamu yangu.ipo siku utajua nilivyokuzimikia, ila now utanikataa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…