Hii ni tabia mbaya sana katika mahusiano.

Kashifa zipi Tall kwani mnakuwa mmegombana ama jamaa linajisikia tu kukashifu??
Ukiona hivyo jua haliko sawa
 
Asprin.............kisha unapokea kiingilio mlangoni au? class monitor nafikiri class monitor anaitwa kiranja wa darasa kwa kiswahili cha kawaida, ila mie humwita SHAMBENGA! :tongue::lol:
 
Asprin.............kisha unapokea kiingilio mlangoni au? class monitor nafikiri class monitor anaitwa kiranja wa darasa kwa kiswahili cha kawaida, ila mie humwita SHAMBENGA! :tongue::lol:
Nitafurahi ukiniita kiranja wa darasa. Hilo jina jingine ukiniita uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi unaweza kuwa kama wa Bush na Osama.
 
Kashifa zipi Tall kwani mnakuwa mmegombana ama jamaa linajisikia tu kukashifu??
Ukiona hivyo jua haliko sawa
yaani kamsema dada wa watu vibaya sana siwezi andika hapa.
 
yaani kamsema dada wa watu vibaya sana siwezi andika hapa.

Huyu si mwanamme wa kawaida ....akili yake si njema sana ninanochoona hapa dada wa watu hata tatizo ila amekutana na Crazy
 
huyu si mwanamme wa kawaida ....akili yake si njema sana ninanochoona hapa dada wa watu hata tatizo ila amekutana na crazy
kuna wanaosema kuwa huenda hata kupewa hakupewa......ni maneno ya mkosaji.
 
lakini hebu na tujiulize ............one night stand pia unaita mahusiano? hii imekaaje Tall?
 
Huyu si mwanamme wa kawaida ....akili yake si njema sana ninanochoona hapa dada wa watu hata tatizo ila amekutana na Crazy
Mwalimu Gaijin msaada hapa tafadhali......!:focus:
 
nadhani utakuwa unazungumzia wanaume wako na si wote...

ni kawaida yenu na si wanaume wangu ila nina mume wangu, inaonyesha wewe ni mmoja wapo ,mwenye tabia hizo za kuongelea mambo ya mkeo/mwanamke wako pindi mnapokwaruzana acha tabia hiyo ni chafuuuuuuuuuuuuuu! Lol!
 
Roseunatafuta balaa wewe mtoto. hahah LOL :hurt:
 
Siyo wote ni wachache! Wengine ukikorofishana naye wala hapeleki vijistori nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…