Hii ni Taifa Stars iliyoifunga Zambia kuingia African Cup (Tumemkumbuka Peter Tino, tumemsahau Thuwein Ally)

NNi historia nzuri sana!
Mohamed Rishard Adolf... Jamaa yupo simple sana na hana makelele...! Mara ya mwisho nlimuona Kisutu akiwa na Tenga Ktk Mazishi ya Mzee Mbwezeleni!
 
... inaoenekana enzi hizo Pan ilikuwa na vifaa sio mchezo!
 
..Tulicheza mechi ya kwanza Dsm na aliyefunga goli alikuwa Mohamed Rishard "Adolf."

..Jiulize kwanini tulifuzu kwenda Lagos kwa matokeo ya bao moja kwa moja.

..Mohamed Rishard naye anastahili sifa sawasawa na Peter Tino.
Kifupi goli la Peter Tino lilichagizwa na goli la Dsm la Mohammed RRichard
 

Samahani lakini, naomba kukuuliza.
Kwani huyu PETER TINO aliukokota mpira kutoka golini mpaka kufunga bila msaada wa wenzake? Samahani lakini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Masahihisho ;Tanzania ilitoka sare na Code d ivoire sio Misri
 
Maelezo mazuri,je bila ya Peter Tino kusawazisha huo mwaka 1979 tungeenda kwenye hayo mashindano?,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Pita Tino alikuwa anacheza,anazuia anashambulia, na kudaka mpira mwenyewe.! Hakuna goli linalofungwa na mtu Mmoja. Wachezaji Wote waliocheza 1979/80 ambao mpaka sasa wako hai mpaka sasa wapewe kiwanja.
Tusitoe zawadi za kitaifa Kisiasa !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji wa zamani walikuwa physique
 
Huyo Pita Tino alikuwa anacheza,anazuia anashambulia, na kudaka mpira mwenyewe.! Hakuna goli linalofungwa na mtu Mmoja. Wachezaji Wote waliocheza Taifa stars Afrcom 1979/80 ambao mpaka sasa wako hai mpaka sasa wapewe kiwanja.
Tusitoe zawadi za kitaifa Kisiasa !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtizamo big up kwa kuweka sawa,huyu jamaa kanichanganya kuonyesha Peter Tino hakua super,kajikita kwa Pondamali na Thuwen Ally,kiukweli bila lile goal hii ndio ingekua mara ya kwanza kufuzu,mwisho tuenzi wachezaji wote wa zamani na familia zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kumbukumbu nzuri ila wewe ni simba damu
 
Aliyefunga bao la kutupeleka Lagos Kule Zambia alikuwa Ni PETER TINO. ila si mbaya nawe uka muenzi mohamed rishard adolf....hujakatazwa... Siku ya simba na AS Vita goli la Thamani zaidi lilikuwa la Chama. Hii ipo hivyo kila sehemu...mi sijaelewa kwa nini watu wametokwa na povu sana. Jamaa kashapata shukrani yake.

..Tulicheza mechi ya kwanza Dsm na aliyefunga goli alikuwa Mohamed Rishard "Adolf."

..Jiulize kwanini tulifuzu kwenda Lagos kwa matokeo ya bao moja kwa moja.

..Mohamed Rishard naye anastahili sifa sawasawa na Peter Tino.
 
Umeongea kitu cha kweli sana! watu walioelimika wanatafuta nafasi kama aliyopata TINO jana kueleza vitu vya maana hata ile 5ml aliyoomba nikama amekurupuka mchezi unaejielewa unamuomba Rais 5m!! utafanyia biashara gani 5m nadhani madogo hawa akina Samata wataonesha mfano wa namna gani Mchezi anatakiwa kuwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kitoto... Ndo maana katika mechi kuna man of the match. Maana yake huyu alicheza peke yake? Leo hii anavyochukua uchezaji bora ronaldo au messi huwa anacheza peke yake? Ile zawadi ya mfungaji bora wa ligi au kombe anayepewa huwa anakokota mpira peke yake toka golini? Sasa mbona hawapewi team nzima?

Kajipange kijana... Kuuliza si ujinga lakini haimaanishi tuulize maswali ya kijinga

Samahani lakini, naomba kukuuliza.
Kwani huyu PETER TINO aliukokota mpira kutoka golini mpaka kufunga bila msaada wa wenzake? Samahani lakini.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…