Godfrey (ucar)chitalu alikuwa khatari kweli wenyewe wazambia wakidai mwaka wa 1972 pekee alitupia kambani goli 100 baadae alikuja kuwa mkufunzi wa kk eleven mpaka umauti ukamkuta pwani ile ya Gabon akiwa na kikosi hicho kilicho sheheni dhahabu kama Eston mulenga webby chikabala. numba mwila. John soko,witson changwe, kelvin mutale alikuwa bwana mdogo tu akiwa na miaka 19