Hii ni Tanzania siyo Dubai

Hii ni Tanzania siyo Dubai

NYAMY

Member
Joined
Feb 16, 2016
Posts
14
Reaction score
32
FB_IMG_1597951545361.jpg
 
Bongo hiyo ila ume edit mirangirangi
Weka picha halisi

Ova
 
Duuh!! Pale mleta uzi alichokidhamiria kionekane kinakuwa kinyume chake hapo ndio mwanzo wa kuanza kuuchungulia uzi wake kwa mbaaali. Lol.

#Hanautetezi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio kwa huo mtaro mchafu na hako kajengo kimoja. Naona kama unajaribu kulinganisha paka na chui
 
Back
Top Bottom