Hii ni topic ya kupigwa mawe kama Stefano, mchana kweupee

Hii ni topic ya kupigwa mawe kama Stefano, mchana kweupee

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Unapooa Mwanamke ambaye hukumkuta na Ute wa
Bikira jua wazi ametumika,na inawezekana
ametumika kwelikweli,Kuna Miko imepita, Vijiko
vimepita,Miswaki imepita,Matango yamepita,,na unapomuoa ni jukumu lako kuhakikisha wewe ni
Kombinesheni ya Tango,Kijiko Mswaki na Mwiko ili
mke huyu abakie wako wewe na sio wako+Mwiko(ex
fulani) Kabla hujamlaumu Partner wako kwanini
amecheat, Jiulize,UNA
KOMBINESHENI YA KUMKAZA VIZURI?? Shida ya Wanaume ni UBISHI na UJUAJI...Hata uwe
Mlokole
unayenena kwa Lugha, Ukioa weka ulokole
chini, KAMUA SAWASAWA,Usifanye Tendo la Ndoa
kama unangojea Mkate wa
Sakramenti, KAMUA SAWASAWA Na Mke akikwambia Mme wangu haitoshi MUONGEZE DOZI mpaka aombe
poo,sio uanze kumwambia ohh mwanamke unafanya
ndalilo hii, hutosheki tu unadhani chakula, kesho
nimechoka, na visingizio vya leo sijisikii vizuri..Wengine
Mkiambiwa DOZI HAITOSHI Mnanuna, hamtaki
kukubali kwamba DOZI HAINA MASLAHI/..Mmachinga akikwambia HAINA
MSLAHI Lazima Uongeze Hela lasivyo hiyo bidhaa
atauziwa Mwingine....WENGINE MNAMEGEWA KWA
KUJITAKIA, Dozi Ndogo,ukiambiwa hutaki
kujifunza, anapewa Muuza Genge! Nikiwaza kuoa
NATETEMEKA hadi nanena kwa Lugha..Oooohrik abababababashantarabataraararayatarashantaham
aKANTANGAZEtashabahataabuukatishaharabatatata
rikoborositah
 
Sasa shahidi stefano na tabia yako ya kishenzi ya umalaya wapi na wapi? Kuwa na adabu kahaba wewe
 
"Kwenye miti hakuna wajenzi"
Ukioa mwanamke mzuri si rahisi kumtimizia kila kitu, hasa kunako 6x6. Ndio maana anafananishwa na shamba la miwa lililo karibu na shule ya msingi. Lazima watoto "wajikatie". Hizo habari sijui toa dozi ya ukweli ni maneno tu!
Kadri unavyokula lishe ya uhakika ndipo njaa inapoongezeka.
Huwezi kumridhisha mwanadamu!
 
Huyu jamaa simuelewagi sijui anadhani kuna rika lake huku

sijui stuna rudi shule ukabalehe kwanza maana unakuja kasi sana huku kwa baba zako
 
Huyu jamaa simuelewagi sijui anadhani kuna rika lake huku

sijui stuna rudi shule ukabalehe kwanza maana unakuja kasi sana huku kwa baba zako
Haya ndio mawe yenyewe...
 
"Kwenye miti hakuna wajenzi"
Ukioa mwanamke mzuri si rahisi kumtimizia kila kitu, hasa kunako 6x6. Ndio maana anafananishwa na shamba la miwa lililo karibu na shule ya msingi. Lazima watoto "wajikatie". Hizo habari sijui toa dozi ya ukweli ni maneno tu!
Kadri unavyokula lishe ya uhakika ndipo njaa inapoongezeka.
Huwezi kumridhisha mwanadamu!
Maneno kuntu....salute
 
Ndoa ni zaidi ya kukamuana...uliza watu wazima wakwambie! Kuna vitu vya msingi sana vya kuzingatia na kukamuana ina nafasi ndogo!
 
Hadithi na porn videos zinawaharibu sana wanaume wanajua kukaza sijui kusugua sana ndo kujua sex wakati wanatuumiza tu badala ya furaha inakua uchungu tunaishia kutafuta kujikanda.
 
Kama mwanamke ametulia ni ametulia tuu, haijalishi umemkuta bikra au kabanduliwa. Sio wote wanaotoka nje ya ndoa eti sababu hawabanduliwi, ni litabia la mtu tuu na tamaa.
 
Stunter nazielewa sana nyuzi zako...ningetamani kama kungekuwa kuna jukwaa linalohusisha mambo flani hivi ya ndani zaidi yanayohusiana na ishu kama za ufundaji kwa wanaume au wanawake...huku raia wachache sana watakuelewa.
 
Back
Top Bottom