Hii ni Traffick au murder case?

Peter Nindi

Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
8
Reaction score
0
Y amegombana na X. Katika ugomvi wao Y amemtishia X kumuua, katika kuhofia usalama wake X akaamua kwenda kituo cha polisi kutoa taarifa kuwa Y ametishia kumuua. Y akaitwa kituo cha polisi na kuhojiwa na kupewa onyo na angalizo kwamba ikitokea X akafariki katika mazingira ya kutatanisha basi Y atawajibishwa.

Sasa siku moja Y akiwa barabarani anaendesha gari na X akiwa anatembea kwa miguu ikatokea ajali Y akawa amemgonga na gari na X akawa amefariki dunia. Y akakamatwa na kufikishwa kwenye kituo cha polisi.

Sasa tatizo langu ni kwamba Y atafunguliwa kesi gani TRAFFICK CASE au MURDER CASE?
 

Murder case kwa kutumia circumstance evidence . Hata hivyo kama onyo lilitolewa kwenye mahakama au kwa mlinzi wa amani hapo anaweza kutiwa hatiani lakini kama ni maneno ya kupewa onyo police post hiyo haina nguvu kisheria.
 
Atashtakiwa kwa Murder case kwa kutumia circumstance evidence . Hata hivyo kama onyo lilitolewa kwenye mahakama au kwa mlinzi wa amani hapo anaweza kutiwa hatiani lakini kama ni maneno ya kupewa onyo police post hiyo haina nguvu kisheria.

Vinginevyo inaweza ku turn kwenye traffic case ikiwa traffic ataonyesha kupitia mchoro kuwa X alitembea kwa uzembe barabarani bila kuwa mwangalifu.
 
Murder case kwa kutumia circumstance evidence . Hata hivyo kama onyo lilitolewa kwenye mahakama au kwa mlinzi wa amani hapo anaweza kutiwa hatiani lakini kama ni maneno ya kupewa onyo police post hiyo haina nguvu kisheria.

Kaka.. Mi cjakuelewa vizuri.. Samahani lakini.. Je mlinzi wa amani ni yupi hasa? je police ni mlinzi wa nini?
 
with reference 2 police analysis ya mchoro wao ndiyo itadetermine nature ya hyo case, bt simply hyo n trafic case kiongz
 
Kwanza kitendo cha Y kumtishia X kwamba atamuua hiyo tu ni kosa la jinai na hapo X hakupaswa kutoa taarifa police bali alipaswa kufungua kesi polisi, kuna tofauti ya taarifa na kesi katika taaluma ya polisi, taarifa inatolewa pale tu kunapotokea upotevu wa kitu fulani, kimsingi kwa kesi ya X hiyo ni kesi na si taarifa, Hivyo askari polisi huyo alipaswa kumfungulia X ya kutishiwa kuu wawa na Y kisha taratibu za kumkamata Y zifanyike na kumfikisha mahakamani
?
na
 
kasome kazi ya police unapoenda kituo cha police unasema umetishiwa huwa hakuna onyo mbali unafunguliwa offence ya kutishia kuua kwa njia ya maneno na mtuhumiwa anatakiwa kukamatwa mara moja tu
all traffic offence kuna zile za onyo na ambazo hazina onyo mfano kuua kama hujafunga mkanda traffic anaweza kukupa onyo au ulipe faini au vyote kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…