nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Waziri anayetambaiaga PhD yake jana kakalishwa uwanjani na watoto waliopata ma zero primary schools mbaya zaidi alikuwa na Naibu Spika huku wakijifanya ni watu wema ili wapate huruma ya vijana walioruhusiwa kuingia bure, yes kiingilio kilikuwa ni miguu yako tu, lakini at what cost?
Mbeya kuna mvua zinaendelea kesho kuna mechi ya Yanga vs Tanzania Prisons, jana uwanja umekanyagwa na maelfu ya watu umekuwa topetope, kondomu ma chupa yapo kwenye picha na Waziri wa Michezo jana kakaa jukwaani anakenunua tu meno halafu kesho kiunafiki utasikia analalamika jinsi TFF wanavyopangua ratiba utasikia ohoooo nimeongea na FIFA watuletee wataalamu wa kupanga ratiba, hovyo kabisa.
Angalia jinsi uwanja ulivyo for Gods sake jamani, dah, hiyo mechi waipeleke Samora Iringa.