Hii ni zaidi ya TOO MUCH sasa tunahitaji selections

Hii ni zaidi ya TOO MUCH sasa tunahitaji selections

kelvin.pcb

Senior Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
175
Reaction score
21
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale tusio na uwezo wa kumudu gharama za shule binafsi, ningeomba hawa watu wa wizara wajaribu kuangalia athari zilizopo huku mtaani hasa kwa mtu asiye na kazi yoyote ile, ni mwezi wa 9 sasa toka tumalize shule.
Pia hawa watu wanaojihita wadau wa elimu wasisubiri matokeo mabaya, ndio walalamike, wajaribu kuangalia na hili swala.
 
Kwani tukifanya maandamano haiwezekani! Mi binafsi nashauri tuandamane labda ndo watatukumbuka. Au wenzangu mnaonaje?
 
Hao hawajui walifanyalo kama hata zoezi la ku-select tu linachukua miaka kwa kweli sijui.
 
aiseeeeee babayangu tulikuwa bize na obama sasa ameondoka tupeni mwezi mmoja tunashilikia selection zenu
 
Ni dhama za usingizi na kutojali maslahi ya wengine, hata hawa vijana wanatayarishwa kuwa raia wanaotazama nafsi zao, maana wamekuwa na kipindi kirefu cha maumivu yanayosababishwa na watu wasiojali. Miaka 10 ijayo watakuwa tatizo kwenye jamii na kwa vile hakuna anayewajali. Labda safari nyingine tunapofanya uchaguzi tuchague viongozi wenye ndoa changa maana wengi kwa sasa wana watoto wao wasio na uhusiano na form foour
 
wanasema zitatoka tarehe 10, wakati huo shule za private walianza kusoma mwezi wa 4. Tufumbe macho tusali
 
wanasema zitatoka tarehe 10, wakati huo shule za private walianza kusoma mwezi wa 4. Tufumbe macho tusali

Hii yote ni effect za hao wanaojiita wadau wa elimu kwani karibu wote ni viongoz wa serikali katka ngaz za juu na ndio wamiliki wa shule binafsi lazm wacheleweshe kwanz shule zao zijae.
 
Napenda kuwashauri wadogo zangu tulieni, tunajua mna mzuka na advance lazima mwende, nyie ni washindi, subirini tu!
 
Mna mzuka na form5 kwel kwel!MPAKA MWENDE JKT NDO SELECTION ZITATOKA.Source MTU WA KARIBU SANA NA MULUGO!
 
kwani tukifanya maandamano haiwezekani! Mi binafsi nashauri tuandamane labda ndo watatukumbuka. Au wenzangu mnaonaje?

twendeni tukaombe kibali jamani mimi mwenyewe sha chukia kila nikisikia jina kawa mbwa najihisi kutapika
 
Kwani tukifanya maandamano haiwezekani! Mi binafsi nashauri tuandamane labda ndo watatukumbuka. Au wenzangu mnaonaje?

Naunga mkono hoja yako 100%, tukinyamaza kimya hawa mabogus yatazidi kutusahau, mbaka tuwape kashi kashi kidogo ndipo bongo zao zitafanya kazi kidogo.
 
vijana tuliomaliza kidato cha nne mwaka 2012, tumekuwa kama specimen kwa ajili ya majaribio ya wizara ya elimu, hili swala la kutotolewa selections mpaka sasa hivi, linatuumiza sana hasa kwa wale tusio na uwezo wa kumudu gharama za shule binafsi, ningeomba hawa watu wa wizara wajaribu kuangalia athari zilizopo huku mtaani hasa kwa mtu asiye na kazi yoyote ile, ni mwezi wa 9 sasa toka tumalize shule.
Pia hawa watu wanaojihita wadau wa elimu wasisubiri matokeo mabaya, ndio walalamike, wajaribu kuangalia na hili swala.

kaka umenena pamoko xana lakin wasiopenda maendeleo wanaponda
 
Back
Top Bottom