MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 631
- 1,263
Natumaini hamjambo.
Mm ni mkaka sasa nahitaji mwenza/ mke anae jitambua na mwenyenia ya kuolewa, umri wangu kwa sasa ni 33 hivyo mke mtarajiwa awe na umri 24 to 28 yrs. Binafsi ni mkristo hivyo nahitaji mkristo pia kabira sio kigezo kwangu bali mtu husika ndio kigezo cha kwanza.
Mengine yote njoo PM tuzungumze lkn kama unajua kabisa kua sikuhusu pita tu maana sitaki tupotezeane muda
NB; USALAMA WA AFYA NDIO MSINGI WA MAISHA, HIVYO NI JAMBO AMBALO LITAPEWA KIPAOMBELE DAIMA KARIBUNI.