Sio kwamba namkashifu kocha lakini kiukweli upangaji wa kikosi umeifanya timu yetu icheze kiwango cha chini sana, hawa wachezaji wa kigeni kama Abdi Banda, Samata, Msuva, Tiba John, yule dogo wa kati ni wachezaji wa kawaida sana.
Hii Niger hii hata mimi Leo ningeweka kikosi hiki ningewaua,
Beno
Job
Tshabalala
Bacca
Mwamnyeto
Dismas
Lyanga
Bajana
Kibu
Sopu
Kibabage
Nawakalisha vizuri tu, timu hii ni yetu sote lakini ina changamoto sana, leo tungetoka sare sijui kocha angekuwa katika hali gani