Hii nimeipenda...

n00b

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2008
Posts
1,015
Reaction score
2,680


President Barack Obama greets people following his remarks at the Ford Motor Company Chicago Assembly Plant in Chicago, Ill., Aug. 5, 2010. (Official White House Photo by Pete Souza)



President Barack Obama greets First Lady Michelle Obama and daughter Sasha upon their arrival at a barbecue in celebration of his 49th birthday on the South Lawn of the White House, Aug. 8, 2010 (Official White House Photo by Pete Souza)
 
Ni mtu wa WATU. Mie pia nimeimind sana hiyo 5. :glasses-nerdy:
 
Jamaa anaonekana peace sana...halafu huyo bintiye Sasha yaelekea pia anamzimia sana daddy wake. Maeneo mengi mtoto wa baba hachezi mbali..Safi sana.
 
Wanajichanganya freshi sana! Bongo vipi?
 
bongo mpaka uanze kuimba bongo flava au zile za wanawake na maendeleo
 
Ikifanyika hivi bongo, lazima itolewe kwenye mabango makuuuuubwa na kutumika wakati wa kampeni kuwa...'mtu wa watu....'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…