Hii noma achomwa moto kwa utapeli mikocheni.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

Wa Tanzania kwa kupenda kujichukulia sheria mikononi mwao ahhh nchi hata wananchi nao Wamechoka na utawala wao utafikiri nchi hii Polisi hakuna? Polisi wanakuja baada ya tukio limeshakwisha mtu ameshauawa ndio hao polisi wanakuja kuokota maiti polisi wanakuja kama ushahidi tu ahhhh Tanania yetu imekwisha kabisa.................Mwenyeezi Mungu iokoe nchi yetu na haya mabalaa.............Amen.
 
Last edited by a moderator:
mmewageuza polisi wafalme njozi? pasipo taarica watajuaje kuwa kuna mtu anachomwa!!! kwenye maandamano si mnapelekaga na barua mapema!!!!
GREAT TINKERS be fair on your judgements
 
unadhani hawapati taarifa? system yetu ina informers mno. wanaamua tu kukaa kimya
 
Mbaya mkamateni lakini haki zake za kuishi mpeni. Watu waliochukizwa na tabia ya tapeli mmoja maeneo ya mikocheni, wamemtia moto na kusababisha kifo cha kufa uku akijionea mateso makali ya ukatili wa bin-adamu.
 
shocking! But I support 100%.
Una Sapport Mabaya mkuu Tripo9? Watu wanajichukulia sheria mikononi mwao kuwauwa Wanaovunja Sheria wewe unaunga mkono? Kwani hakuna hapo Tanzania serikali mpaka Wananchi waamuwe kujichukulia sheria Mikononi mwao? Hakuna Vyombo vya Dola kama Polisi na Mahakama?Kwa Mfano wewe ndugu yako au mwanao wa kiume kaiba kuku wa jirani na majirani wamemkamata wameamuwa kumuuwa je utafurahi mkuu? Sio kitu cha ku sapport hicho tafuta kitu kingine cha ku sapport sio ku sapport Mauaji yasiyokuwa na hatia yoyote ile.
 
Hicho kipande cha video kimekuwa cha zamani kidogo sasa. Mzizimkavu ulikuwa wapi?
 
Ni kweli ni ya zamani hii Video lakini inatia uchungu kuona Binadamu anachomwa moto eti kwa sababu amekutwa na mavazi ya sare ya kijeshi au sare ya Polisi anajifanya Polisi ili awaibie watu. mim kama mtu mpenda haki za binadamu sijapendezewa kuona hali kama hiyo itokee hapo kwetu Tanzania, inaonyesha hapo kwetu Tanzania hakuna haki za Kibinadamu? mkuu Nyani Ngabu is that Tanzania No Human rights?
 
Una Sapport Mabaya mkuu Tripo9? Watu wanajichukulia sheria mikononi mwao kuwauwa Wanaovunja Sheria wewe unaunga mkono? Kwani hakuna hapo Tanzania serikali mpaka Wananchi waamuwe kujichukulia sheria Mikononi mwao? Hakuna Vyombo vya Dola kama Polisi na Mahakama?Kwa Mfano wewe ndugu yako au mwanao wa kiume kaiba kuku wa jirani na majirani wamemkamata wameamuwa kumuuwa je utafurahi mkuu? Sio kitu cha ku sapport hicho tafuta kitu kingine cha ku sapport sio ku sapport Mauaji yasiyokuwa na hatia yoyote ile.

Mkuu mimi nilishalizwa ishu fulani. Matengenezo kila kitu, nikatumia kitu kaa milioni mbili kasoro laki 2. Yaani ilibidi nitumie hakiba yangu kwa uwizi niliofanyiwa.

Nshawahi kuibiwa vitu vidogo vidogo vingi. Inauma sana kuibiwa. Hujawahi kuibiwa wewe, hujawahi kupeleka ripoti polisi ukawaona polis wasivyo sirias wewe. Hujawahi ndo maana wasema hivyo yawezekana.

Hujawahi kuona maisha ya askari polisi wewe. Hujawahi kusikia kua kuingia sero (cell) polisi wawezakutoka kwa kuhonga polisi njaa. Hujui yawezekana.

Mbona mimi hata nikiona cha mtu naogopa sana kukichukua? Mbona mimi kumtapeli mtu naogopa sana? Kwani mimi natokea sayari gani?! Mimi nikiweza kwa nini mwingine asiweze?!

Nimeapa kwa Mungu kua popote nitakapoona mwizi anapigwa kama muda ninaonami nitachangia kupiga mpaka kumuua! Nina machungu sana na watu wenye nguvu zao na hawataki kuchuma vyao kazi kutamani vya wenziwao na kuviiba.
 
huyo mwandish wa habaari alaikuwa anaona sifa kuripoti tukio kama hili? kwanini hakutoa msaada?
 
Mkuu mimi nilishalizwa ishu fulani. Matengenezo kila kitu, nikatumia kitu kaa milioni mbili kasoro laki 2. Yaani ilibidi nitumie hakiba yangu kwa uwizi niliofanyiwa.

Nshawahi kuibiwa vitu vidogo vidogo vingi. Inauma sana kuibiwa. Hujawahi kuibiwa wewe, hujawahi kupeleka ripoti polisi ukawaona polis wasivyo sirias wewe. Hujawahi ndo maana wasema hivyo yawezekana.

Hujawahi kuona maisha ya askari polisi wewe. Hujawahi kusikia kua kuingia sero (cell) polisi wawezakutoka kwa kuhonga polisi njaa. Hujui yawezekana.

Mbona mimi hata nikiona cha mtu naogopa sana kukichukua? Mbona mimi kumtapeli mtu naogopa sana? Kwani mimi natokea sayari gani?! Mimi nikiweza kwa nini mwingine asiweze?!

Nimeapa kwa Mungu kua popote nitakapoona mwizi anapigwa kama muda ninaonami nitachangia kupiga mpaka kumuua! Nina machungu sana na watu wenye nguvu zao na hawataki kuchuma vyao kazi kutamani vya wenziwao na kuviiba.
Yote hayo uliyoyasema kuna ukweli ndani yake na uongo ndani yake hata kama Vyombo vya Dola Polisi havisaidii chochote kile lakini sio Ubinadamu kumuuwa mtu eti ameiba kuku wa jirani au Mtu amevaa sare za Polisi au sare za Kijeshi

huku mimi nilipo nina Sare za Kijeshi lakini hukuti Wananchi au wanajeshi wenyewe kunipiga hata kidogo kuna haki za Kibinadamu sio huko nyumbani eti ukivaa Sare za kijeshi au sare za ki Polisi ukikamatwa na Wananchi basi watakumaliza na

kukuuwa kabisa huo ni ujinga na uzembe wa hali ya juu huko kwetu nyumbani wengi wa watu hawakuenda shule hawana kitu cha kufanya wanangojea uanzishe jambo wapate kumaliza Nchi yetu ya Tanzania haina Haki za kibinadamu wala hakuna

Serikali huko kila Mtu anajichukulia Sheria mikononi mwake. Sipendi mimi kabisa Wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao wakati kuna Chombo cha Dola yaani Polisi.Mkuu Tripo9
 
Last edited by a moderator:
Maalim Mzizi, inahuzunisha sana. Hivi kweli kule Tanzania kuna sheria yeyote iliyo hai?
 
Yote hayo uliyoyasema kuna ukweli ndani yake na uongo ndani yake hata kama Vyombo vya Dola Polisi havisaidii chochote kile lakini sio Ubinadamu kumuuwa mtu eti ameiba kuku wa jirani au Mtu amevaa sare za Polisi au sare za Kijeshi

huku mimi nilipo nina Sare za Kijeshi lakini hukuti Wananchi au wanajeshi wenyewe kunipiga hata kidogo kuna haki za Kibinadamu sio huko nyumbani eti ukivaa Sare za kijeshi au sare za ki Polisi ukikamatwa na Wananchi basi watakumaliza na

kukuuwa kabisa huo ni ujinga na uzembe wa hali ya juu huko kwetu nyumbani wengi wa watu hawakuenda shule hawana kitu cha kufanya wanangojea uanzishe jambo wapate kumaliza Nchi yetu ya Tanzania haina Haki za kibinadamu wala hakuna

Serikali huko kila Mtu anajichukulia Sheria mikononi mwake. Sipendi mimi kabisa Wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao wakati kuna Chombo cha Dola yaani Polisi.Mkuu Tripo9

Kwani hapa tunazungumzi kuvaa tu? Si tunazungumzia kuvaa na kutapeli kwa kutumia mavazi uliyovaa. Hapa ishu ni utapeli aka wizi wa kurubuni
 
Ivyo*2 nani anataka kibarua chakufatilia kesi, uku kwetu aliye ibiwa anakatiwa stake ya mwizi amuonje
 
Ila kwenye maandamano wako makini kweli kuyazuia

Kwanini wasingewaambia Polisi kuwa kuna watu wanaandamana bila ya kibali cha policcm, nafikiri wangeleta vituo vyote vya Dar. Siku nyingine likitokea tukio kama hilo wawaambie policcm kuwa kuna maandamano
 
jamani kamanda wa kanda maalumu ya morogoro si aliwambia chadema kuwa hawana polisi wa kutosha ndio maana walichelewa kufika mkuuu
 
Back
Top Bottom