Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
mmewageuza polisi wafalme njozi? pasipo taarica watajuaje kuwa kuna mtu anachomwa!!! kwenye maandamano si mnapelekaga na barua mapema!!!!
GREAT TINKERS be fair on your judgements
mmewageuza polisi wafalme njozi? pasipo taarica watajuaje kuwa kuna mtu anachomwa!!! kwenye maandamano si mnapelekaga na barua mapema!!!!
GREAT TINKERS be fair on your judgements
Una Sapport Mabaya mkuu Tripo9? Watu wanajichukulia sheria mikononi mwao kuwauwa Wanaovunja Sheria wewe unaunga mkono? Kwani hakuna hapo Tanzania serikali mpaka Wananchi waamuwe kujichukulia sheria Mikononi mwao? Hakuna Vyombo vya Dola kama Polisi na Mahakama?Kwa Mfano wewe ndugu yako au mwanao wa kiume kaiba kuku wa jirani na majirani wamemkamata wameamuwa kumuuwa je utafurahi mkuu? Sio kitu cha ku sapport hicho tafuta kitu kingine cha ku sapport sio ku sapport Mauaji yasiyokuwa na hatia yoyote ile.shocking! But I support 100%.
Ni kweli ni ya zamani hii Video lakini inatia uchungu kuona Binadamu anachomwa moto eti kwa sababu amekutwa na mavazi ya sare ya kijeshi au sare ya Polisi anajifanya Polisi ili awaibie watu. mim kama mtu mpenda haki za binadamu sijapendezewa kuona hali kama hiyo itokee hapo kwetu Tanzania, inaonyesha hapo kwetu Tanzania hakuna haki za Kibinadamu? mkuu Nyani Ngabu is that Tanzania No Human rights?Hicho kipande cha video kimekuwa cha zamani kidogo sasa. Mzizimkavu ulikuwa wapi?
Una Sapport Mabaya mkuu Tripo9? Watu wanajichukulia sheria mikononi mwao kuwauwa Wanaovunja Sheria wewe unaunga mkono? Kwani hakuna hapo Tanzania serikali mpaka Wananchi waamuwe kujichukulia sheria Mikononi mwao? Hakuna Vyombo vya Dola kama Polisi na Mahakama?Kwa Mfano wewe ndugu yako au mwanao wa kiume kaiba kuku wa jirani na majirani wamemkamata wameamuwa kumuuwa je utafurahi mkuu? Sio kitu cha ku sapport hicho tafuta kitu kingine cha ku sapport sio ku sapport Mauaji yasiyokuwa na hatia yoyote ile.
Yote hayo uliyoyasema kuna ukweli ndani yake na uongo ndani yake hata kama Vyombo vya Dola Polisi havisaidii chochote kile lakini sio Ubinadamu kumuuwa mtu eti ameiba kuku wa jirani au Mtu amevaa sare za Polisi au sare za KijeshiMkuu mimi nilishalizwa ishu fulani. Matengenezo kila kitu, nikatumia kitu kaa milioni mbili kasoro laki 2. Yaani ilibidi nitumie hakiba yangu kwa uwizi niliofanyiwa.
Nshawahi kuibiwa vitu vidogo vidogo vingi. Inauma sana kuibiwa. Hujawahi kuibiwa wewe, hujawahi kupeleka ripoti polisi ukawaona polis wasivyo sirias wewe. Hujawahi ndo maana wasema hivyo yawezekana.
Hujawahi kuona maisha ya askari polisi wewe. Hujawahi kusikia kua kuingia sero (cell) polisi wawezakutoka kwa kuhonga polisi njaa. Hujui yawezekana.
Mbona mimi hata nikiona cha mtu naogopa sana kukichukua? Mbona mimi kumtapeli mtu naogopa sana? Kwani mimi natokea sayari gani?! Mimi nikiweza kwa nini mwingine asiweze?!
Nimeapa kwa Mungu kua popote nitakapoona mwizi anapigwa kama muda ninaonami nitachangia kupiga mpaka kumuua! Nina machungu sana na watu wenye nguvu zao na hawataki kuchuma vyao kazi kutamani vya wenziwao na kuviiba.
Yote hayo uliyoyasema kuna ukweli ndani yake na uongo ndani yake hata kama Vyombo vya Dola Polisi havisaidii chochote kile lakini sio Ubinadamu kumuuwa mtu eti ameiba kuku wa jirani au Mtu amevaa sare za Polisi au sare za Kijeshi
huku mimi nilipo nina Sare za Kijeshi lakini hukuti Wananchi au wanajeshi wenyewe kunipiga hata kidogo kuna haki za Kibinadamu sio huko nyumbani eti ukivaa Sare za kijeshi au sare za ki Polisi ukikamatwa na Wananchi basi watakumaliza na
kukuuwa kabisa huo ni ujinga na uzembe wa hali ya juu huko kwetu nyumbani wengi wa watu hawakuenda shule hawana kitu cha kufanya wanangojea uanzishe jambo wapate kumaliza Nchi yetu ya Tanzania haina Haki za kibinadamu wala hakuna
Serikali huko kila Mtu anajichukulia Sheria mikononi mwake. Sipendi mimi kabisa Wananchi kujichukulia sheria mikononi mwao wakati kuna Chombo cha Dola yaani Polisi.Mkuu Tripo9
Ila kwenye maandamano wako makini kweli kuyazuia