Hii noti ni pesa ya nchi gani na thamani yake kwa Bongo ni kiasi gani?

Google ya nini Sasa?,ukizoea kuuliza uliza mwishowe unakuwa mjinga unakuwa hushughulishi ubongo, mtu badala ya kukimbilia google anakimbilia jamii forums
 
Hiyo ni pesa ya czech republic (uskochi) inaitwa "koruna" na koruna moja kwa siku ya leo ni sawa na Tshs 105.9 hivi hivyo kwa hiyo 200 ni kama 21,188.4552 tshs (Ishirini na moja elfu, mia moja themanini na nane na centi kadhaa).
Naibadilisha wapi mkuu mi nipo geita
 
Hiyo ni pesa ya czech republic (uskochi) inaitwa "koruna" na koruna moja kwa siku ya leo ni sawa na Tshs 105.9 hivi hivyo kwa hiyo 200 ni kama 21,188.4552 tshs (Ishirini na moja elfu, mia moja themanini na nane na centi kadhaa).
Czech republic ni Uskochi (Scotland)?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…