Hii noti ni pesa ya nchi gani na thamani yake kwa Bongo ni kiasi gani?

Kwan kuna ubaya akikimbilia hapa? Ata akienda Google ni anaenda kuuliza vilevile akiuliza hapa ni sawa pia. Acheni kuwa na ujinga kiasi hicho, ata hapa JF ni kama Google tu
Google ya nini Sasa?,ukizoea kuuliza uliza mwishowe unakuwa mjinga unakuwa hushughulishi ubongo, mtu badala ya kukimbilia google anakimbilia jamii forumsView attachment 2561027
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…