Hii nyumba ndogo inanitesa

Nduka Original

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,012
Reaction score
817
Mimi ni mwanamme mwenye miaka takriban 40 pia nina mke na watoto. Kweli nimepata ka sub house ni kazuri sana na kananipenda pia. Shida yake ni kwenye kutiana yani kanataka bao 3 na kuendelea. Ukipiga hapo bao mbili kananiambia nimekachafua bure kwani hakajarizika. Hpa jumapili kamesha book game na mimi hivyo inabidi hata home nisitoe heshima sababu ya maendeleo.

Kama kuna mwenye ushauri anipatie jamani.
 
nipe no yake, nimshauri atafute msaidizi; looks like ngoma huiwezi!
 
Aiseee. . . .mwambie na yeye atafute nyumba ndogo. . .huku nyumbani nako ukute mkeo nae ana yake.Ndoa mlifungishwa wawili ila washiri muwe sita. . . . raha iliyoje!!
 
tumia viagra, upate utamu wa bi mdogo ,hapo utafahamu nini maana kupenda nyumba ndogo, halafu malizia kw bi mkubwa
 
Does it really worth it? Ikitoea mkeo na yeye akawa anafanya haya unayofanya huko nje na marafiki zako utajisiake? Put yourself in her position kwanza. Kama hupati mahitaji yako ongea na mkeo, hiyo ndio njia pekee ya kusahihisha mambo na siyo kutoka nje.
 
Lizzy kamaliza, mshauri huyo bibie atafute big house yake na mkeo akupunguzie majukumu kwa kutafuta serengeti boy! Wasikuchefue, kwani umewazaa wewe! Ebooo!
 
fuata ushauri wa lizzy na king hapo juu,kama utaona noma kuwaambia hao nyumba zako directly tumia hata washkaji zako wakawatongoze.kwa nini wakupe presha namna iyo..khaaaa
 
Lizzy kamaliza, mshauri huyo bibie atafute big house yake na mkeo akupunguzie majukumu kwa kutafuta serengeti boy! Wasikuchefue, kwani umewazaa wewe! Ebooo!
King'asti pliz yaani unataka baba wa watu azidi kuharibikiwa? Mpeni mbinu za ku last longer bana ili bibie aridhike maana katika ngono ninachofahamu mimi issue sio wingi wa vingapi issue ni quality hata kama ni kimoja,au nakosea bibie?
 
Bishanga,unataka tuhamie kitengo cha The Boss? Muache alikoroge akishalinywa tunamrestisha in peace! Mi siwezi kushauri udhalimu. Tena kama small house ameipangishia Sinza kwa wajanja, wala asijali manake hicho cha tatu vijana wa kitaa watakua wanampa tafu buree! Aombe Mungu akili za condomising zisimpungukie!
King'asti pliz yaani unataka baba wa watu azidi kuharibikiwa? Mpeni mbinu za ku last longer bana ili bibie aridhike maana katika ngono ninachofahamu mimi issue sio wingi wa vingapi issue ni quality hata kama ni kimoja,au nakosea bibie?
 
andika wosia maana utakuja kufia kifuani kwa huyo nyumba ndogo. Mnatakaga damu moto wakati nyie damu zishapoa. Matokeo yake ndo hayo.
 
andika wosia maana utakuja kufia kifuani kwa huyo nyumba ndogo. Mnatakaga damu moto wakati nyie damu zishapoa. Matokeo yake ndo hayo.

Acha kutoa lana basi!! We badala ya kutoa ushauri unatoa lana. KOMA
 
King'asti pliz yaani unataka baba wa watu azidi kuharibikiwa? Mpeni mbinu za ku last longer bana ili bibie aridhike maana katika ngono ninachofahamu mimi issue sio wingi wa vingapi issue ni quality hata kama ni kimoja,au nakosea bibie?

Aharibikiwe mara ngapi?? Hivi katika wanaume huyu nae ni mwanaume? Tena nampa nyambaaaaf kabisa, akome kujitia tia!
 
Hukuwa na haja ya kuejieleza, we tunakujua toka awali kuwa mambo yalishakushinda!! Ongeza na mwingine ili uwe unapata dozi kutwa mara tatu!!
 
hahah!!mkuu nguvu hunaa unataka nyumba ndogo,yawezekana hata kubwaa huiwezii bado umeongezaa mzigo wa kujitakiaa,kilaa mla cha mwezie na chake huliwaaa...juaaa serengeti wanakusaidia nyumba kubwaa na ndogo piaa,wee utabaki ATM
 
mm ninakushaur umtafutie na yeye kajamaa kadogodogo au mshaur mkeo nae atafute kajumba kadogo kama hutak kutoa heshma
 
sasa mkuu huna turbo unalazimisha uwe na nyumba ndogohalafu unalalamika unataka tukusaidieje ...??? heri small hse anakwambia isije ukawa hata home unacheza chini ya kiwango na shemeji atatafuta serenget boys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…