Hii nyumba ndogo inanitesa

...hizi 'nyumba ndogo' ilhali uwezo wenyewe wa gesi ya pepsi ni kujitia aibu sie na wake zetu majumbani enyi wazee wenzangu...

...kila kitu na wakati wake, 'speed 180' zilikuwa enzi zile za u teeneger..ACHA!
 
Acha kutoa lana basi!! We badala ya kutoa ushauri unatoa lana. KOMA

Unajifanya hutaki laana unayofanya wewe ni sawa?????
Kwanini usiridhike na mkeo tu????
Mpe hizo bao mbili (ambao ni uwezo wako) mkeo, achana na nyumba ndogo kwani kazi huwezi kabisa!!!!
Chezea nyumba ndogo weye!!!!
:A S-coffee:

 
Acha kumchafua tu mwenzio, kazi huiwezi wewe:eyebrows::eyebrows:,
Unajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumhudumia kunako 6x6 huwezi!!! Ovyoooo, hebu tulia na mkeo na watoto.
Ipo siku nyumba ndogo atataka zaidi ya tatu na utajifia huko huko, teh teh teh.
 
Reactions: BPM
nyumba ndogo anataka vitatu unalalamika haya nyumbakubwa anataka ngapi?
 
Unajifanya hutaki laana unayofanya wewe ni sawa?????
Kwanini usiridhike na mkeo tu????
Mpe hizo bao mbili (ambao ni uwezo wako) mkeo, achana na nyumba ndogo kwani kazi huwezi kabisa!!!!
Chezea nyumba ndogo weye!!!!
:A S-coffee:


Thats why i love you!Naamini hili rungu limemfikia,anataka kupanda mlima Kilimanjaro wakati yeye saizi yake ni Udzungwa,WANAUME wa shoka tupo,akitaka hata bao tano daily!
 

Kwe,kwe,kwe kweee,kwiiii,kwi kwi,kwi,kwiiii.Khaaaaaaaaa!
 
nyumba ndogo huiwezi umebaki kumchafua.....endeleza lisebene kwa mkeo achana na nyumba ndogo
 
Reactions: BPM
Mama hata kabao kamoja tu anarizika.

duh mkuu hapo elewa bi mkubwa anaishi kwa mazoea tu tangu lini bao moja likakuna mtu??? angalia usije ukapata wasaidizi nyumba kubwa .. minmum inatakiwa bao 2 na lazima uwe na uwezo japo wa bao tatu kwa usiku mmoja japo mara moja kwa week .. isije ikawa unapiga hako kabao mara moja kwa week
 

si herinyumba ndogo imetoa dukuduku je hiyo kubwa si imeamua kufa na kamba shingoni
 
Dunia imekwisha jamani! Leo watu wanathubutu kujisifia madhambi yao hadharani badala ya kwenda kutubu kanisani. Wanathubutu kutaja aibu zao hadharani. Hawa ni wale waliotafunwa na mbwa wakatangaza kidonda.
Ningekuwa wewe, kupungukiwa na nguvu za ubanjuaji katu nisingeona kuwa ni sifa (wachia mbali dhambi). Kubwa umetuambia tu "huwezi kazi". Karibuni utapata wasaidizi katika nyumba kubwa na ndogo kwani wewe ni mchafuaji tu, yamekushinda!
 
ako ka small haus kako ni kaongo kanataka uchoke ili nyumbani uchemshe mwishowe ndoa ivunjike ili kenyewe kaingie jumla,stuka
 
baba kaz hauwez! Huyo mtoto unamtesa na jasho lako la bao mbili...nimbe NO.zake ajipimie bao anazotaka hapa ndo kiboko yao wanaolilia magoli...rudi kwa nyumba kubwa kwa kamoja na akalala,huyo dogodogo 2achie matabibu.
 
kama unamchafua inamaana kavu kavu, ngoma inakuhusu man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…