Hii nyumba ndogo inanitesa

Badilika kaka umri umeenda achana na hivyo vinuka mkojo tafuta watu wazima wenzio tena mshukuru huyo kakwambia ukweli ungekutana na kicheche kingekukamua kimya kimya

Aisee ndugu nashukuru sana
 
Heeee! Nilidhani unamsahuri aache huo mchezo kumbe unamwambia atafute nyumba ndogo iliyozeeka. Lol.

Badilika kaka umri umeenda achana na hivyo vinuka mkojo tafuta watu wazima wenzio tena mshukuru huyo kakwambia ukweli ungekutana na kicheche kingekukamua kimya kimya
 
Kwa hiyo na wewe umeupenda ushauri wa kutafuta mzee. Kumbe ndo ulichokuwa unataka kusikia. Haya bana; kila lakher. Usisahau kumpa feedback alokushauri, kama kweli huko kwa vizee ni shwari au mule mule.

Aisee ndugu nashukuru sana
 
mshahara wa dhambi ni mauti.Achana na hiyo nyumba ndogo.
 
1. Usimvamie tu inaonekana anakujua vizuri na anajua weekpoints zako vema ndio maana kwenye mechi unatoka umefungwa mabao 3-1, 3-2....na kuendelea,AU UNATOKA UMECHOOOOOKA? uko hoi. Sasa mkuu,hapo umeenda kustarehe au kuumizwa???

2. Elewa/zijue weekpoints zake zote, ukizijua utamfunga mabao(tusiulizane unazielewaje,saa hizi watoto bado wako macho hawajalala) hadi mwenyewe asalimu amri. Vinginevyo nasikitika kukueleza kuwa bado kidogo jamaa WATAKUSAIDIA.

3.Inatakiwa kila mtu baada ya mechi atoke ameridhika na anafuraha kinyume cha hapo kuna mchezaji mmoja anacheza FAULO...
Na usisahau....kwenye mechi hizi mara nyingi sisi wanaume ndio manahodha. Hivyo mchezo wowote usioridhisha ni makosa yetu.
 
Kinachonikera na kunisikitisha ni UZINZI wa usaliti wa ndoa ulivyoshamiri mpaka kinyaa alafu unaomba ushauri? UKIMWI utakuua nakwambia na imani hata kondomu huvai kwani si unataka kitu moto? Ngoja utajutia
 
Oøoh! Hivi umri unaweza kuwa sababu eeh?

Eti kajifanya kuandika 40yrs ili aonekane na ye mwanaume mwenye uwezo wa kutoa maamuzi........hovyooooo!!! Kama hamnazo ni hamnazo tu, wala miaka yake haihusu!
 

Kwa uchafu kama huu ndoa yako haitadumu kamwe! Kama mkeo naye atakuwa na tabia chafu kama zako basi jiandae kupata mme mwenzio kwa mkeo kwani kwa 100% hutamtimizia mkeo kimapenzi, halafu tegemea kupata watoto wa kubambikwa na mkeo hapo ndio utajua uzuri wa unayoyafanya.
 
we muache, muosha huoshwa
 
Hiyo ni nyumba ndogo ndio umeshindwa kuitimizia halafu unaomba ushauri, vipi mkeo unamtimizia? je mkeo akifanya kama wewe unavyofanya, will u feel better?
 
king'asti pliz yaani unataka baba wa watu azidi kuharibikiwa? Mpeni mbinu za ku last longer bana ili bibie aridhike maana katika ngono ninachofahamu mimi issue sio wingi wa vingapi issue ni quality hata kama ni kimoja,au nakosea bibie?

nakubaliana na wewe kwa 97% unaweza pewa moja lakini maandalizi yake mpaka mchezo ukifika hutaki kuongeza la pili...jamani mpeni anko matayarisho wanaume mko wapi.
 
hahah!!mkuu nguvu hunaa unataka nyumba ndogo,yawezekana hata kubwaa huiwezii bado umeongezaa mzigo wa kujitakiaa,kilaa mla cha mwezie na chake huliwaaa...juaaa serengeti wanakusaidia nyumba kubwaa na ndogo piaa,wee utabaki ATM
tehteh teh teh muambie huyo!
 
Usiingize mashine yako mapema, chezea kwanza hiyo dogo dogo mpaka itaharuki ikianza kulalama basi hapo weka mashine ndani fanya unavyotaka. Nyumba dogo zina raha zake bwana. Ila cha msingi usisahau watoto na mama yao.
 
Hapa ndipo ninaposhangaa wanaume! Si ajabu mke halali naye anapunjika na akilalamika kuwa hatosheki wala hasikilizwi lakini nyumba ndogo anaundiwa kabisa jopo la washauri!
 
Usiingize mashine yako mapema, chezea kwanza hiyo dogo dogo mpaka itaharuki ikianza kulalama basi hapo weka mashine ndani fanya unavyotaka. Nyumba dogo zina raha zake bwana. Ila cha msingi usisahau watoto na mama yao.
Aisee,kazi ipo,eti zina raha zake,ipo siku utajuuuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…