Hii picha imenifundisha mengi

Hii picha imenifundisha mengi

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Toa comment yako ulichogundua kwenye hii picha [emoji120] [emoji120]
IMG_20181014_001131_646.jpg
 
Inafundisha aliyechuchumaa anamshobokea aliyesimama
 
Yule dada kule nyuma ni nani, Ntuyabaliwe?
 
Inafundisha nini, wewe unaona watu wamejipanga kupga hadi picha ingekuwa ya kushtukiza hapo sawa.
 
Inafundisha nini, wewe unaona watu wamejipanga kupga hadi picha ingekuwa ya kushtukiza hapo sawa.
Vijana wa siku hizi wana mapungufu ya Afya ya akili ... Yaani hata hilo Ameshindwa kuling'amua. !!!!?
 
Nimeshidwa nikoment nini igawa nimewaza mengi
 
Uandishi bado ni shida sana!
Yaani heading na ulichoandika ndani ni kama ardhi Na mbigu!

Rudi shule
Sio arudi shule, bali aachane na fani ya uandishi akomae na fani zingine ndogo ndogo kama kurudishia uzi kwny viatu vilivyofumuka
 
Uandishi bado ni shida sana!
Yaani heading na ulichoandika ndani ni kama ardhi Na mbigu!

Rudi shule

Wenye ' akili ' tumemwelewa 100% ila ' Mangumbaru ' na ' Mapopoma ' waliotukuka kamwe hawawezi kumwelewa hata kidogo.
 
Wenye ' akili ' tumemwelewa 100% ila ' Mangumbaru ' na ' Mapopoma ' waliotukuka kamwe hawawezi kumwelewa hata kidogo.

Ebu tupe umbea , wengine vichwa ngumu... mi nimeona kuwa jamaa anawajali wasanii wake na kuwaheshimu
 
Back
Top Bottom