Hii Picha inamaanisha nini ?

Fred ametumia wakala wa GSM kutengeneza Jezi za awamu ya pili zenye ubora zaidi ya zile zilizotengenezwa na wachina.

Wakala akajisahau akandika jina la mteja wake wa siku zote.
 
Fred ametumia wakala wa GSM kutengeneza Jezi za awamu ya pili zenye ubora zaidi ya zile zilizotengenezwa na wachina.

Wakala akajisahau akandika jina la mteja wake wa siku zote.
sasa tuvae au tuache ?
 
Jezi za simba ila zinauzwa kama za yanga ili mwisho wa msimu takwimu zikija utopolo ionekane wameuza jezi nyingi.... huo ni mchongo wa jiesiemu
 
Hiyo ni Barcode ya nguo yenye jina laYanga na GSM, kwa rangi nyekundu.

Barcode ni utambulisho wa bidhaa fulani iliyo sokoni.

Ki-sisi sisi, Vunjabei anafotoa bidhaa za Yanga chini ya makubaliano na GSM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…