Hii Picha je ni ya Kweli au uongo? Naomba utowe maelezo yako hapo chini

kwa nini kakomaa uso tu ,sizani kama bailojia ya mwili inakubali kitu hicho
 
Kwa hiyo sio picha ya ukweli wanatuchanganya hao watengenezaji wa picha Adobe Photoshop!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tehe tehe tehe teheee!!!mbona namfananisha kwa ukaribu sana na mzee wa mtera?
 
Du hii kali!Namfananisha na bulldozor(Tingatinga!)
 
Hii picha ina maudhui gani?Mi naona ni haiana maana kuwekwa ktk hii forum. What do we gain from it anyway?
 
Kuficha miaka uko!!..... Hadi leo anatumia pot !kakomaa hakubali
 
Hii si ya kweli, maana sura ni kama raisi wa ivory coast kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…