Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,962
- 721
Nimejaribu kuangalia hii picha kwa ukaribu bado sijapata jawabu. Kuna mtu alikuwa anapata busu ya mkono?
Angalia kisha toa maoni.
Angalia kisha toa maoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sheihk yahyaAnabusu ile pete ya ,.......:eyeroll2:
sheihk yahya
busu mkononi.. sometimes upande wa kulia na kushoto wa shavu ni salamu za kawaida kwa waislam:becky:..
busu mkononi.. sometimes upande wa kulia na kushoto wa shavu ni salamu za kawaida kwa waislam:becky:..
![]()
Kama ni sometimes kwa nini wale wazee wawili - wa pili na tatu kutoka kushoto wamepigwa na butwaa!