Hii picha yaonyesha tafsiri hasa ya ndo kiungo mkabaji

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Kwa mtanzamo wa picha hii, ndo yaonyesha tafsiri hasa ya kiungo mkabaji kwenye mchezo wa soka duniani.
 
Na mpira wenyewe hauonekani popote kwenye picha.....bila shaka huo utakuwa mchezo wa SUMO au WWE....
Nilidhani kwenye soka hakuna Tanganyika Jeki..Lakini sasa nimeona
 
Kama asingevaa hiyo ya mbano mm sijui ikweta ingekuwa na moto kiasi gni maana hiyo kamba sasa ilaa daaah ugomvi wa ngumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…