Ulifunga na rectifire?Habari zenu wakuu,nina Piki piki aina ya Boxer wiki iliyopita ilishindwa kabisa kupiga starter Fundi akaniambia Battery imekufa.Nikaingia Kariakoo nikanunua Battery imeandikwa VBT ikawa imepona lile tatizo inapiga starter kama kawaida.Cha ajabu baada ya kama siku 4 hivi na hii inasumbua kupiga starter hadi kiki,je tatizo ni Battery niliuziwa kimeo au Piki piki itakuwa na shida?maana wasi wasi wangu Battery ya kichina.
Sawa tuHii nitajaribu nione..vip nikijaribu taa yoyote ya volt 12 Mkuu?
USIENDE KWA MAFUNDI WA MTAANI MKUU,TAFUTA WATU MAKINI KWA AJILI YA VYOMBO HIVI VYA USAFIRI
POLE SANA MKUU ILA HUJACHELEWA KAMA UKO MAENEO YA MIJI MIKUBWA TAFUTA MAWAKALA WAODah Mkuu kama ulijua kwa ushaur wako aisee,tatizo umechelewa na nishaenda kwa Fundi wa Mtaani hapa najuta.Alijidai anatengeneza tatizo mara katika kujaribu akaibua tatizo lingine akidai timing chain imekufa nikanunua nyingine akabadili hapo ndo tatizo likaanza,piki piki imekuwa slow mlimq mkali usipovuta sana mafuta inazima na imeanza kunywa mafuta balaa nkamrudishia ananiambia sijui adjuster nkaachana nae nikaenda kwa mtaalamu kuisikiliza tu inavyolia kanieleza tatzo sio timing chain ni piston zinatakiwa kubadil.Hapa najuta huku nimeweka piki piki ndani nikitafuta hyo hela ya piston na Fundi.
Kanunue rectifire mpya na betr ongeza maji makali piga kiki ijichaji baadaye itapiga taster tatizo lako litaisha alafu Rudi ulete mrejesho