Hii post ya Elon Musk ina maana gani kwa Ukraine?

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
21,600
Reaction score
35,158
Unajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani!

Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine.

Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky?

View: https://twitter.com/elonmusk/status/1708629197617336398?t=ZpmkzjkhOBAVda7vm2yckw&s=19

Elon musk hana uwezo wa kubadilisha american foreign policy
Marekani alipigana kufa na kupona baada ya babu yake kiduku kuichukua korea yote na akafanikiwa kuigawanya kati ya korea kaskazin na korea kusini

Marekan amekaa afganstan miaka 20 sembuse hapo ukraine
 
Alikaa muda mrefu mrefu Afghanistan Kwa sababu hakupata ugumu wowote na ni kama mtu kupigana na Kikwete na kusema umemshinda, Afghanistan ni tofauti kabisa na Urusi hivyo usiwaze mambo yaliyo nje ya uwepo. Marekani anajua mchezo wowote wa ovyo ni kuhatarisha usalama wa ulaya na Marekani na dunia nzima maana vita ya Marekani na Urusi ni Mutually Assured Destruction maana yake uharibu ni kotekote
 
Kwamba Marekani amekaa miaka 20 Afghanistan.

Akipigana na kikundi Cha watalaban,wala sio nchi ya Afghanistan,Tena akiwa na wenzake wa NATO.

Halafu baada ya miaka 20 akawaacha watalaban wakirudi madarakani, akaacha lundo la silaha ambazo hata Ecowas hawana.

Sembise Ukraine?

Ukraine hii iliyojengwa kivita na NATO toka 2014 wakati huohuo yenyewe ikiwa na jeshi imara kabisa, viwanda vya silaha na misaada yote kutoka NATO,eu na west wote.
Urusi ikiwa peke yake,wameshindwa kumzuia kuniadhibu Ukraine.
Silaha zote zilizokuwepo Ukraine Kabla ya SMO zimeliwa,.
Sasa hivi Ukraine inapata silaha mpya kabisa ambazo zinaingizwakili Ukraine kwa njia za panya.
 
Unajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani!

Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine.

Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky?

View: https://twitter.com/elonmusk/status/1708629197617336398?t=ZpmkzjkhOBAVda7vm2yckw&s=19

Unajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani!

Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine.

Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky?

View: https://twitter.com/elonmusk/status/1708629197617336398?t=ZpmkzjkhOBAVda7vm2yckw&s=19

Huyu jamaa sikujua kama ana tabia za kiswahili namna hii
 
Kwamba Marekani amekaa miaka 20 Afghanistan.

Akipigana na kikundi Cha watalaban,wala sio nchi ya Afghanistan,Tena akiwa na wenzake wa NATO.

Halafu baada ya miaka 20 akawaacha watalaban wakirudi madarakani, akaacha lundo la silaha ambazo hata Ecowas hawana.

Sembise Ukraine?

Ukraine hii iliyojengwa kivita na NATO toka 2014 wakati huohuo yenyewe ikiwa na jeshi imara kabisa, viwanda vya silaha na misaada yote kutoka NATO,eu na west wote.
Urusi ikiwa peke yake,wameshindwa kumzuia kuniadhibu Ukraine.
Silaha zote zilizokuwepo Ukraine Kabla ya SMO zimeliwa,.
Sasa hivi Ukraine inapata silaha mpya kabisa ambazo zinaingizwakili Ukraine kwa njia za panya.
Kwamba Marekani amekaa miaka 20 Afghanistan.

Akipigana na kikundi Cha watalaban,wala sio nchi ya Afghanistan,Tena akiwa na wenzake wa NATO.

Halafu baada ya miaka 20 akawaacha watalaban wakirudi madarakani, akaacha lundo la silaha ambazo hata Ecowas hawana.

Sembise Ukraine?

Ukraine hii iliyojengwa kivita na NATO toka 2014 wakati huohuo yenyewe ikiwa na jeshi imara kabisa, viwanda vya silaha na misaada yote kutoka NATO,eu na west wote.
Urusi ikiwa peke yake,wameshindwa kumzuia kuniadhibu Ukraine.
Silaha zote zilizokuwepo Ukraine Kabla ya SMO zimeliwa,.
Sasa hivi Ukraine inapata silaha mpya kabisa ambazo zinaingizwakili Ukraine kwa njia za panya.
Urusi Yuko peke yake na wale wanajeshi 10000 wa NK wameenda picnic kule Kursk? Vipi Shahed drones za Iran anazotumia mrusi? Unajua msaada wa Beralus kwa Urusi ktk hii vita?
 
Elon musk hana uwezo wa kubadilisha american foreign policy
Marekani alipigana kufa na kupona baada ya babu yake kiduku kuichukua korea yote na akafanikiwa kuigawanya kati ya korea kaskazin na korea kusini

Marekan amekaa afganstan miaka 20 sembuse hapo ukraine
Marekani alikaa Afghanistan baada ya kupata alicho kitaka, mission was to kill Osama Bin Laden, baada ya kumpata na kumuua then Afghanistan wasn't a deal to them and this is why they decided to quite na Taleban wakajiona washindi. Kwa Ukraine bado sielewi ni nini hasa USA anakiyaka pale
 
Back
Top Bottom