Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Elon musk hana uwezo wa kubadilisha american foreign policyUnajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani!
Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine.
Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky?
View: https://twitter.com/elonmusk/status/1708629197617336398?t=ZpmkzjkhOBAVda7vm2yckw&s=19
Alikaa muda mrefu mrefu Afghanistan Kwa sababu hakupata ugumu wowote na ni kama mtu kupigana na Kikwete na kusema umemshinda, Afghanistan ni tofauti kabisa na Urusi hivyo usiwaze mambo yaliyo nje ya uwepo. Marekani anajua mchezo wowote wa ovyo ni kuhatarisha usalama wa ulaya na Marekani na dunia nzima maana vita ya Marekani na Urusi ni Mutually Assured Destruction maana yake uharibu ni kotekoteElon musk hana uwezo wa kubadilisha american foreign policy
Marekani alipigana kufa na kupona baada ya babu yake kiduku kuichukua korea yote na akafanikiwa kuigawanya kati ya korea kaskazin na korea kusini
Marekan amekaa afganstan miaka 20 sembuse hapo ukraine
Unajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani!
Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine.
Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky?
View: https://twitter.com/elonmusk/status/1708629197617336398?t=ZpmkzjkhOBAVda7vm2yckw&s=19
Huyu jamaa sikujua kama ana tabia za kiswahili namna hiiUnajua kuna watu wakisema kitu lazima ukae utafakari. Elon Musk sio mtu wa mchezo ni watu wenye influence kubwa Marekani!
Na sio hivo tu ni mtu anayetoa msaada wa intermet kwa jeshi la Ukraine.
Je kwa post hii ina maana ameanza kuwachoka omba omba Ukraine na zelensky?
View: https://twitter.com/elonmusk/status/1708629197617336398?t=ZpmkzjkhOBAVda7vm2yckw&s=19
Kwamba Marekani amekaa miaka 20 Afghanistan.
Akipigana na kikundi Cha watalaban,wala sio nchi ya Afghanistan,Tena akiwa na wenzake wa NATO.
Halafu baada ya miaka 20 akawaacha watalaban wakirudi madarakani, akaacha lundo la silaha ambazo hata Ecowas hawana.
Sembise Ukraine?
Ukraine hii iliyojengwa kivita na NATO toka 2014 wakati huohuo yenyewe ikiwa na jeshi imara kabisa, viwanda vya silaha na misaada yote kutoka NATO,eu na west wote.
Urusi ikiwa peke yake,wameshindwa kumzuia kuniadhibu Ukraine.
Silaha zote zilizokuwepo Ukraine Kabla ya SMO zimeliwa,.
Sasa hivi Ukraine inapata silaha mpya kabisa ambazo zinaingizwakili Ukraine kwa njia za panya.
Urusi Yuko peke yake na wale wanajeshi 10000 wa NK wameenda picnic kule Kursk? Vipi Shahed drones za Iran anazotumia mrusi? Unajua msaada wa Beralus kwa Urusi ktk hii vita?Kwamba Marekani amekaa miaka 20 Afghanistan.
Akipigana na kikundi Cha watalaban,wala sio nchi ya Afghanistan,Tena akiwa na wenzake wa NATO.
Halafu baada ya miaka 20 akawaacha watalaban wakirudi madarakani, akaacha lundo la silaha ambazo hata Ecowas hawana.
Sembise Ukraine?
Ukraine hii iliyojengwa kivita na NATO toka 2014 wakati huohuo yenyewe ikiwa na jeshi imara kabisa, viwanda vya silaha na misaada yote kutoka NATO,eu na west wote.
Urusi ikiwa peke yake,wameshindwa kumzuia kuniadhibu Ukraine.
Silaha zote zilizokuwepo Ukraine Kabla ya SMO zimeliwa,.
Sasa hivi Ukraine inapata silaha mpya kabisa ambazo zinaingizwakili Ukraine kwa njia za panya.
Marekani alikaa Afghanistan baada ya kupata alicho kitaka, mission was to kill Osama Bin Laden, baada ya kumpata na kumuua then Afghanistan wasn't a deal to them and this is why they decided to quite na Taleban wakajiona washindi. Kwa Ukraine bado sielewi ni nini hasa USA anakiyaka paleElon musk hana uwezo wa kubadilisha american foreign policy
Marekani alipigana kufa na kupona baada ya babu yake kiduku kuichukua korea yote na akafanikiwa kuigawanya kati ya korea kaskazin na korea kusini
Marekan amekaa afganstan miaka 20 sembuse hapo ukraine
Nani tena?Huyu jamaa sikujua kama ana tabia za kiswahili namna hii