Political analysts wanasema, maandamano ya Gen Z kwenye huu ukanda wa western hemisphere ni global trend, siyo local phenomenon. Kwa watawala, someni hizi trends, masika yamebadirika. Hii ni wito kwa watawala wa mataifa haya ku-change the way wanafanya politics na kutawala.
Hizi ni Zama mpya. Mambo ya baiskeli na vitenge will not cut it kwa gen z.