Hii rekodi ya msanii Shakira imetisha

mkuu youtube ilianzishwa mwaka gani?

youtube ilianzishwa mwaka 2004 ila haiuzuii nyimbo ya mwaka 90 kuwa posted hapo ndio maana ukitafuta THESE BOOTS ARE MADE FOR WALKING YA NANCY SINATRA nyimbo ya mwaka 1966 utazipata youtube video yake ukitafuta nyimbo za johnny cash za miaka ya 40 utazipata video zake youtube na kwa taarifa yako hizo millions views ambazo mnaziona hapo sio youtube wanazo generate ni VEVO ambayo ilianzishwa mwaka 2009 kama joint venture ya universal,sony, google, na abu dhabi media ent ndio maana video nyingi kama sio zote zenye views kuanzia 100 mill kwenda juu ni za VEVO na nyimbo zote hizo zime uplodiwa 5 years back kipindi ambapo VEVO imekuwa launched....

universal, na sony wanawasaidia sana wasanii wao kwenye socia media promotion na ndio hapo wanapowapiga bao Warner Brothers

hayo makampuni wanatoa pesa google kwa ajili ya kuzisaidia video zao ziwe streaming worldwide...
 
Under 301 club skuizi hamna eeh 😔 waZoefu wa YouTube watanielewa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…