Hii Rhumba ya Kings music ni Habari Nyingine.

Hii Rhumba ya Kings music ni Habari Nyingine.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Hawa vijana wa kings music ya King kiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wana uwezo mkubwa sana ila naona wamekosa promo kutoka kwa boss wao.
Alikiba jaribu kufanya mziki kisasa uwa-brand Hao vijana,wana onekana wana uwezo mkubwa na wanaweza fika mbali sana.
 
Back
Top Bottom