[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo mchana vipi?
Good evening.Asubuhi = good morning
Mchana = good afternoon
Jioni = good evening
Usiku =?
Siyo kama sijui kama kuna goodnight, lakini kwa sababu good night inatumika watu kutakiana usiku mwema, imagine mtu hamjaonana tangu asubuhi mnakuja kuonana usiku saa nne, mnasalimiana vipi?
How was the dayAsubuhi = good morning
Mchana = good afternoon
Jioni = good evening
Usiku =?
Siyo kama sijui kama kuna goodnight, lakini kwa sababu good night inatumika watu kutakiana usiku mwema, imagine mtu hamjaonana tangu asubuhi mnakuja kuonana usiku saa nne, mnasalimiana vipi?
Asubuhi = good morning

Kwan ww ni mchawi?Mnasalimiana usiku nyie wachawi. Usiku ni wakati wa kulala, hata Kiswahili tunaamkiana habari za asubuhi, mchana, na jioni. Hakuna habari za usiku maana wakati huo tumelala. Tukiamka ndiyo inakuja habari za asubuhi.
Kwan ww ni mchawi?
Au good after evening!!!!! Hehe!!Heheheheheeee, mchana co good night ni good afternoon lkn pia hata jioni unaeza sema good afternoon cz afternoon means jioni, pia jioni unaeza sema good evening.
Kuhusu good night hii co salamu (greetings) bali ni maagano (fare well).
So, usiku wa saa nne unaeza tumia hyo hyo good evening, ila km ucku sana mfano saa sita na kuendelea unaeza tumia midnight.
"good evening" hutumika jioni na usiku. "Good night" siyo salamu bali kumtakia mtu usiku mwema.Asubuhi = good morning