Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hazisumbui kabisa ndiyo maana Samsung Care Centres hazipo na hata kwa fundi simu huwezi kukuta SamsungHivi Samsung nazo huwa zinasumbua....?
Hivi Samsung nazo huwa zinasumbua....?
Note 4 Samsung walichemka sana upande wa betri, simu inapata sana moto ukiwasha data. Tena bora ununue hizi betri za kichina wanazouza machinga kuliko kununua battery zao OG zinasumbua kinyama.Nimebadilisha battery mara 2, lakini bado inapata moto hatari, japokuwa siitumii sana ila nikiiwasha tu inapata moto mno. Nimeweka apps kama Wake Lock nk lakini bado tu, tusaidiane wakuu.