Hii sasa imezidi

gaddaf

Member
Joined
Nov 13, 2016
Posts
57
Reaction score
19
*WAHAYA kwa kujisifia imepitiliza,leo nimeskia hii Matangazo ya vifo.Ndugu Datius Rweyemamu wa Masaki anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Sophia Rweyemamu wa Oysterbay kilichotokea jana America Baada ya kupaliwa BURGER akiwa anaendesha BUGATTI yake mpya la Billion 04 likiwa Full Tank.Msiba utafanyika kwa aunt yake Australia,Taarifa ziwafikie ndugu zake wote wa Singapore,Dubai,India,Ugiriki pamoja na house Girl Clara aliyekua China kwa shopping ya vyakula vya Mbwa*
 

Acha utahaira

Shule zikifunga muwe mnashinda tution huku mnatujazia tu matakataka.
 
Ungeiweka kule kwenye jukwaa la ucheshi. Hapa si mahala pake.

Hata hivyo imesimama.
 
Form One inabidi muwe mnawekewa majukwaa yenu msipate access ya baadhi ya majukwaa.
 
[QUOTE="mitale na midimu, post: 27374244, member: 321780"
*NAJUA MAMA AKO ALITAMANI SANA MWANAE USOME UJE KUWA MRUSHA NDEGE AirPORT*✈

*LAKINI MASKIN YA MUNGU NA UJINGA WAKO UKAJA KUWA MRUSHA PICHA NMTANDAONI*
hhhhhh.

*UKIMIND NJOO TUDUFUWANE*
[/QUOTE]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…