Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
Mwenzenu ni mwezi wa 7 sasa toka shemeji yenu na mimi tulipositisha mahusiano yetu ya awali. Ktk kipind hcho cjapata mpenz mpya wala kushiriki tendo la ndoa na mwanamke yoyote. Hapa nilipo nina magundi/mapatex ya ukweli, ukame umenitawala. Nishauri nifanye nin pls coz imefika hatua natamani nika purchase mlupo unipoze!