Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Samahani, WanaJF!
Naomba mwenye kujua jina la season moja ya kizungu anikumbushe,
Ilikuwa hivi, Walitekwa wanafunzi ambao ni watoto wa mawaziri, rais, makamu wa rais na viongozi wengine ndani ya serikali.
Gari za escort za kuwapeleka watoto na kuwarudisha nyumbani toka shuleni zilitekwa baada ya maafisa usalama kugeukana msafarani.
Anayeijua tamthilia hii naomba anitajie jina lake.
Natanguliza shukrani.