Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Yenyewe ni ya Kimarekani.Ngoma ya mwanamalundi mtunzi mussa Banzi[emoji3][emoji3]
Mzee wa kuwakera[emoji23]Hii season naona maeneo mengi ya nchi yet winter inaenda kuisha na spring inakaribia.
Ila pia waweza kucheki na watu wa Hali ya hewa
Samahani, WanaJF!
Naomba mwenye kujua jina la season moja ya kizungu anikumbushe,
Ilikuwa hivi, Walitekwa wanafunzi ambao ni watoto wa mawaziri, rais, makamu wa rais na viongozi wengine ndani ya serikali.
Gari za escort za kuwapeleka watoto na kuwarudisha nyumbani toka shuleni zilitekwa baada ya maafisa usalama kugeukana msafarani.
Anayeijua tamthilia hii naomba anitajie jina lake.
Natanguliza shukrani.
Ya 1-4Hiyo epsod ya ngap?
Mtu-kutu sana wewe, Yenyewe hii, Mkuu The Monk
Watu wa kitaa wamezoea kuita sizoni, na hapo ujue imetafsiriwa yaani na akina rufufuNafikiri neno sahihi la kutumia ni SERIES.
Hizi lugha za mzungu acha tu nakumbuka kuna kipindi jamaa anakuambia anatafuta cd ya sizoni breki, kumbe "Prison Break"Watu wa kitaa wamezoea kuita sizoni, na hapo ujue imetafsiriwa yaani na akina rufufu
Mtu-kutu sana wewe, Yenyewe hii, Mkuu The Monk
Ubarikiwe, Shukrani sana mkuru.