Hii sensa kama maigizo

Sasa mbona mnawashangaa waislamu wanapoambizana hakuna kuhesabiwa wakati tatizo linajulikana.

 
[h=6]serikali yacheza mchezo mchafu: Yatumia magazeti ya uhuru na tanzania daima kudanganya umma wa kiislam kuwa baraza kuu la maulamaa wametangaza rasmi kushiriki sensa.

Huu ni uongo na hayati ulamaa kupitia katibu wao leo wamekanusha. Hivyo huo ni uongo na wamesema kama njia waliyotumia kuweka msimamo huo nasi kama ni kuutengua wangetumia njia hiyo hiyo.
Nawapenda waislam wote haswa wale wajitambuao na kufanya ibada.
[/h]


 
naomba walimu wagome hadi mwenzao aachiwe unasemaje kama ni ukweli
 
waislam karibu milioni 35 hawatajiandikisha zoezi hili kwa jinsi hamasa ya waislam inazidi kuongezeka siku hadi siku tusubiri tuone!

sasa km waislam karibia mil.35 hawatajiandksha,mnabishana nini sasa,TZ bara ina watu mil.40,visiwani mil.1,na ukisema 35 ml,hawahesabiwa ni wale wanaogopa,ukijumuisha wasiogoma unaweza kupata mil.39 bara na z'bar,we huon hapo mpo asilimia 99 ya watz wote? Sasa mnagoma nin wakati idadi mnaijua,au kaubabe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…