Hii series si yakukosa

Hii series si yakukosa

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kuna series au drama ya kikorea inaitwa The Penthouse ni moja ya drama kali sana iliyotoka hivi karibuni.Kwa sisi tunaopenda kufuatilia series au drama zinazoongelea maisha halisi yetu basi hii si ya kukosa.

Hii drama inahusiana na jumba moja linaitwa Para house inayokariwa na matajiri Kuna balaa moja inatokea Ni kwamba Kuna binti moja masikini anayefanya kazi kwenye moja ya apartment ya jumba Hilo anagundua boss wake wa kiume anayeitwa chairman Joo anachepuka na mke wa rafiki yake anayeishi kwenye Hiyo hiyo jumba wakati ana mke na mke wake ndio mwenye Mali zote anazomiliki yeye na kurecord matukio yake ya kuchepuka na huyo mwanamke.

Chairman joo atagundua huyo binti anajua Siri yake na ukiachana na hiyo watoto wa matajiri ikiwemo mtoto wake inagundulika walishiriki kumdhalilisha huyo binti na ikavuja mitandaoni Ni moja ya Kati ya kosa kubwa Sana.

So kinachofuataa baadae hao matajiri watatafuta namna ya kucover usionekane watoto wao wamefanya huo udhalilishaji kwa huyo binti.Katika kutofuta namna ya kucover hiyo issue yule binti masikini anafariki na Kati ya wale matajiri mmoja wapo ndiyo anahusika na kifo chake bila wengine kujua je Ni nani? Na je mke wa chairman joo akigundua mumewe anacheat itakuaje?

Usikose
 
Back
Top Bottom