Hii series ya Kikorea ni kiboko sana

Hii series ya Kikorea ni kiboko sana

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kuna drama inaitwa "Memorist" ya huu mwaka 2020 Kama ulipenda Vagabond basi hii utaikubali ni drama inayohusisha akili na pia inangumi storyline yake ni nzuri na yenye mbunifu.
 
Back
Top Bottom