Hii sherehe ya kifahari, entertainment icons na hii fasheni ya upaja nje,itakua kazi kweli hapa town

mxyo16

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
1,243
Reaction score
758
Naamini ita influence fasheni za dada zetu kwenye maharusi hapa town....it is pretty..

Una tufundisha tabia chafu , shindwa katika majina yote , unaenda kwenye sherehe ukiwana mawazo yakusheherekea kwa pilao una kuta sherehe za pajaz.
 
Una tufundisha tabia chafu , shindwa katika majina yote , unaenda kwenye sherehe ukiwana mawazo yakusheherekea kwa pilao una kuta sherehe za pajaz.
hahaha mambo mengine yapo kwenye vinasaba mkuu, kama hauna vinasaba vya upaja then upo safe! wala hutafundishika mkuu
 
@@Lulu ajifunze kuacha tupaja twake!
 
Bila kukaa uchi, maisha ya hiki kiumbe hayajakamilika

Tufurahie udhaifu huo, ndio raha zetu vidume, otherwise life ingekuwa ngumu mno
 
Naona Scottie Pippen udenda unamtoka.............
 
Kivazi cha harusini Bongo?!, wakina bibi hawachelewi kukupa khanga kama sio kukutoa nje
 
Maisha ya hao watu sio ya kuyaiga maana hayana uhalisia wowote, ndio maana wanajina lao maalum kabisa wanaitwa "celebrities"
 
Duh! Ila mapaja ya wenzetu huko mengine yako kama mbao!!!! Wabongo wakiachia hivyo itakuwa shidaaaa.
 
Mkuu No... thnx. Ni rangi imekutght hapoo.
hahaha usikimbilie rangi mkuu, mie ni huo mwili tu not big not small, binafsi napenda rangi hii hapa hahahaha...ila hapa kajifunika funika kuheshimu ndoa yake. kwahiyo wewe umewapiga chini wote.
 
hahaha usikimbilie rangi mkuu, mie ni huo mwili tu not big not small, binafsi napenda rangi hii hapa hahahaha...ila hapa kajifunika funika kuheshimu ndoa yake. kwahiyo wewe umewapiga chini wote.

Gabrielle Union hazeeki huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…