mtugani wa wapi huyo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 1,239
- 1,475
Una mawazo mazuri. Sheria ya ubakaji iko wazi, kifungo kinaanzia miaka 30 hadi maisha jela, kutegemea na muathirika wa ubakaji na mazingira yenyewe. Muathirika wa ubakaji hatakiwa kufungwa, maana kaonewa tu. kwa wale wapenzi, kama binti yuko chini ya miaka 18 ni kubaka tu, hata kama binti kahiari mwenyeweWakuu leo imehukumiwa Kesi ya Bw mdogo mmoja ambae amempa Mimba Mwanafunz na Kahukumiwa kifungo cha Miaka 30 na fain ya pesa Taslim Tsh 4M
Kiukweli nimejaribu kuwaza kwa Sauti
Binafs sipingani na Sheria lkn naona kama Sheria imekuwa kandamizi upande mmoja
Maana hawa watu mpaka kufikia kupeana Mimba basi ni wapenz wa Muda hapa sizungumzii Wabakaji
Binafs napendekeza hizi Adhabu zingegusa Pande zote Mbili
Kwamba Mwanaume anahukumiwa Myaka 30 na Bint aliekubali naeahukumiwe walau Myaka 15
Hapa kwa kiwango kikubwa tungekomesha Tatizo hili
Pili wale watakao Thibitika kuwa wamebaka basi wao Adhabu iwe kifungo cha Maisha
NAWASILISHA
Una mawazo mazuri. Sheria ya ubakaji iko wazi, kifungo kinaanzia miaka 30 hadi maisha jela, kutegemea na muathirika wa ubakaji na mazingira yenyewe. Muathirika wa ubakaji hatakiwa kufungwa, maana kaonewa tu. kwa wale wapenzi, kama binti yuko chini ya miaka 18 ni kubaka tu, hata kama binti kahiari mwenyewe
Wapime DNA mtoto akizaliwa kukazia hukumuWakuu leo imehukumiwa Kesi ya Bw mdogo mmoja ambae amempa Mimba Mwanafunz na Kahukumiwa kifungo cha Miaka 30 na fain ya pesa Taslim Tsh 4M