Achana na shipping fee ya alibaba tumia agent akusafirishie mzigo wako toka china to tanzania kama utatumia meli mzigo utapimwa kwa CBM na kama ndege mzigo utapimwa kwa kilogramnaombeni muongozo wakuu kuna bidhaa nimeipenda alibaba nikataka kukiorder bei yake ni 0.78 usd lkn ukija kwenye shipping fee ni 65.90 usd hadi nikachoka kabisa. Nauliza hivi kuna namna naeza kuviorder bila kulipa hiyo shipping fee maana sina uwezo huo ukizingatia nahitaji pisi 20 tu.
Missandei of Naathnaombeni muongozo wakuu kuna bidhaa nimeipenda alibaba nikataka kukiorder bei yake ni 0.78 usd lkn ukija kwenye shipping fee ni 65.90 usd hadi nikachoka kabisa. Nauliza hivi kuna namna naeza kuviorder bila kulipa hiyo shipping fee maana sina uwezo huo ukizingatia nahitaji pisi 20 tu.
Search free shiping itemsnaombeni muongozo wakuu kuna bidhaa nimeipenda alibaba nikataka kukiorder bei yake ni 0.78 usd lkn ukija kwenye shipping fee ni 65.90 usd hadi nikachoka kabisa. Nauliza hivi kuna namna naeza kuviorder bila kulipa hiyo shipping fee maana sina uwezo huo ukizingatia nahitaji pisi 20 tu.
Hata piece moja agent anapokea yeye anazingatia maokoto tu alibaba si kama AliExpresssiyo kwamba kutumia hao agent mzigo unatakiwa uwe mkubwa??
Ndio shipping fee kwa baadhi ya kampuni n kubwa.kumbe