Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
kuna shule kadhaa zimetajwa kuhusika na wizi wa mitihani ya darasa la saba. nashukuru kwa hilo kufahamika maana hii tanzania ya sasa tumekuwa na matatizo makubwa sana kiasi kwamba tume enda kunajisi hadi kwenye elimu.
kuna shule moja maarufu sana ipo tabata wilaya ya ilala hapa dar es salaam. shule hii imejizolea umaarufu kutokana na kuonekana ikifaulisha sana wanafunzi. ukweli ni kuwa mkuu wa shule hiyo akishirikiana an wafanyakazi wasio waaminifu wa baraza la mitihani pamoja na wizarani wamekuwa wakiiba mitihani na kuwasaidia wanafunzi ili waweze kufaulu kwa wingi.
huu mchezo wananchi wengi wanaufaham na lengo ni shule ionekane inafulisha na hivyo wazazi wengi walete watoto wao kusoma kwa ada ya juu. binafsi nmewahi kuwa na karibu na kijana mmoja ambaye anasoma shule hiyo. tukiwa tuna kaa kwenye compound moja katika apartments flani na wazaz wake. nikawa na udadis wa kutaka kujua kama ana uwezo mkubwa kulingana na shule hiyo. kijana hakuwa na lolote la ziada kichwani.nlishangaa sababu ya jina la shule na sifa za shule.
yalipokuja kutoka matokeo yake ya kidato cha nne alikuwa amefaulu kwa kiwango cha division one. ambayo kiuhalisia kama angetakiwa kuitetea tena kwa ule mtihani na uhakika asingeweza.ila ni matokeo ya wao kupata mitihani mapema na kufanyiwa na walimu darasani wakijifanya kuwa hayo ni maswali ambayo wanaotea hivyo wanafunzi wawe makini nayo.
uhuni huu unafanyika kwa shule nyingi sana dar es salaam na mikoani. ila shule hii ni mtandao mkubwa ambao unashirikisha watu wengi wizarani na baraza la mitihani kwa mujibu wa maelezo ya watu wengi na hata badhi ya wazazi wanaoishi tabata.
serikali iangalie suala hili kwa umakini sana. ufisadi na unajisi unaofanyika kwenye elimu athari zake ni kubwa sana katika maisha ya watanzania.watakuja wenye ndugu, watoto na wafanyakazi wa hapo kutetea kwa nguvu sana kuwa si kweli. kwa matusi na dhihaka.ila ukweli utakuja kujulikana siku moja.