hii si Balaa??

mbona sioni kitu zaidi ya hiyo bendera sijui ni ya Burundi au ni macho yangu wakuu...
 
inatisha...thats all ican say. Thank you!
 
how can this be possible?i dont understand na mtu mzima huyu tayari.
 
Kama hujasikia kitu kinaitwa photoshop, ndio hiki kimefanya picha hii.
Pongezi kwa artist huyu kwa kutumia vizuri photoshop!
 
Kama hujasikia kitu kinaitwa photoshop, ndio hiki kimefanya picha hii.
Pongezi kwa artist huyu kwa kutumia vizuri photoshop!
Je tunahitaji Photoshop hapa? Iwapo kila mwenye ujuzi wa Photoshop ataweka picha hapa itakuaje? Kumbuka jinsi JK alivyochezewa na Photoshop... Na hii inaweza hata kumkuta Mbowe, Slaa na ghasia zingine!

Je JF ilekee huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…