TandaleOne
JF-Expert Member
- Sep 4, 2010
- 1,644
- 709
Hivi huyu aliyekubali muandike kwamba toka JK aingie madarakani watu milion mbili zaidi wamekuwa masikini bila kuonyesha percentage ni nani??Alitoa oda makusudi au sababu hii itawagharimu.
Angalia,mwaka 2005 Tanzania ilikuwa na watu chini ya million 34 na masikini wa kutupwa wapatao million 11.Sawa na asilimia 32%.Leo mwaka 2010 Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milion 42,Chadema inasema masikini wa kutupwa wamefikia milion 13 ongezeko la milion 2 na hii ni mbaya.Lakini angalia,13milion katika 42 million ni sawa na asilimia 30!!Mbona hiyo part ya analysis mmeiondoa???Makusudi,kwa sababu inaonyesha umasikini wa kutupwa unapungua Tanzania wakati ambapo nchi nyingi za Afrika kusini mwa Sahara hali si nzuri.Kuweni wazi,penye ukweli sema tu.