Hii si sawa, wabunge hawa wachunguzwe rasmi

Ila na wewe ni jasiri sana.umewezaje kuwafuatilia hawa akina mama kila wanakoendaUmeamua kuacha majukumu yako na kuwafuatilia nyendo zao au kuna kitu umeona unapunjwa? Kwa kawaida mtu hawezi kuimba wimbo asioujua,inawezekana wewe ni mdau Mkubwa wa michezo hiyo michafu na sasa kinacho kusumbua ni wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nimesikia Bulaya kaolewa ana mme, japo mwanzo nilikuwa jirani ya Halima ila sikuwahi fuatilia maisha yao,
maana yangu mwenyewe natafuta wakunisaidia ya wengine sina pakuyaweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mbulula kweli kwahiyo wanasagana lakini Ester ana mwanae??
 
USHOGA ni swala binafsi sikuizi
Jerry Muro na Le mutuz ni mashost hadi Lemutuz anamtembelea Muro Arusha, nao pia wachunguzwe, siyo bure. Ilifikia hatua hadi Lemutuz anajiselfia na gari la umma ambayo hutumiwa na Jerry Muro. Ni dhambi kubwa kuingiiza mali ya serikali kwenye ushosti usioeleweka.
 
Hao wataumbuka tu haswa baada ya kuamua kuweka rehani viti vyao na kujikita katika kusagana,itakua rahisi sana kuwagundua baada ya kuukosa ubunge hapo october,2020
 

Matendo hayo yanapelekeq mambo mengi sana.
Kubwa wanaume hatuwaridhishi wanawake kwa swala la ngono

Pili maneno ya kuliwazana na kujishusha
Tatu wamefikia hatua hizo kama za kweli kwa kila mmoja kuelezea maswahib yaliyowakuta kabla.


Nini kifanyike

Tuwapende
Tuwahari
Tuwadhamini
Tuwaombee

Na tuwe na mapenzi ya dhati ukikutana nae kwenye sita kwa sita be creativity mpaka aseme najuta kutafanya ya huko nilikofanya
 
Umejibu hoja kwa hoja aise!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hoja hizi unatamani na wewe wakusage au upigwe tigo!
 
Some times stupid is always stupidly!

Unaongea kiutani utani, kishamba kishamba huku hujui unaongea na watu zaidi ya 200,000.

Ebu tupe kiwango cha urafiki ambao ukizidi tutasema ni wanasagana au ushoga?

upuuzi flani huu.


Ninavyojua Bulaya na Mdee they share the same stuation in political.

Mbona hujasema kwamba Mdee ndiye aliyemshawishi Bulaya kuhamia Chadema.
 
Mwishoni ungemalizia "habari hii imedhaminiwa na Mzee Wa hasira wa Bunda, kama vuguvugu za kuelekea uchafuzi unaokuja.
 
USHOGA ni swala binafsi sikuizi
Ni suala binafsi, ushoga hauambukizi ( non contegious) so mtu akiamua kufanya ushoga ni yeye. ushoga wa mtu unakuathiri vipi wewe ambaye hufanyi ushoga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…