Hii si sawa, wabunge hawa wachunguzwe rasmi

Huu Urafiki umepitiliza, ukimtongoza mmoja anakusemea kwa mwenzie ...................
Pamoja na kwamba siungi mkono mapenzi ya jinsia moja but POVU lako limelala hasa hapo kwenye BOLD, hapo ndio pamesababisha UZI hu kuwepo humu. Anyway, na wewe ilikuaje ukawatongoza wote mkuu? Ungekomaa na mmoja wapo hadi upate matokeo, kwenye kikao chetu tulijiridhisha pasipo shaka yoyote kwamba, "hakunaga mkate mgumu mbele ya chai" Umesahau?
 
Unataka tuendekeze mambo ya kipuuzi kurusha tuhuma zisizo na ushahidi?Mfano zile za Bashite na Mtukufu,tukiziendekeza humu si tunakuwa tunamtafutia Melo tu matatizo?
 
Hao wataumbuka tu haswa baada ya kuamua kuweka rehani viti vyao na kujikita katika kusagana,itakua rahisi sana kuwagundua baada ya kuukosa ubunge hapo october,2020
Hoja zimekata lumumba!Maflyover na mandege mmechoka kuyaandika au habari hizo haziuzi?
 
Unataka tuendekeze mambo ya kipuuzi kurusha tuhuma zisizo na ushahidi?Mfano zile za Bashite na Mtukufu,tukiziendekeza humu si tunakuwa tunamtafutia Melo tu matatizo?
Jadili issues usitaje majina ya watu. Soma mara mbili bandiko langu utagundua huna neutrality ktk kujadili hivyo kaa kimia.
 
Jadili issues usitaje majina ya watu. Soma mara mbili bandiko langu utagundua huna neutrality ktk kujadili hivyo kaa kimia.
Thread yenyewe imetaja majina na zote hizo ni tetesi tu kama hizo tetesi nilizoandika hapo juu!Kwenye bandiko lako ungewaomba watu wataje na tetesi nyingine walizonazo juu ya wenye tabia hizo ili tukemee kwa pamoja!
 
Utakuja kusukumiwa vidole back kwa umbea wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAKOMEO NA MAKONDAKTA walishachunguzwa?
Mbona wamesemwa sana?
Mpaka MAKONDAKTA anapendwazaidi kuliko mama Jesca au wao sheria zimewaruhusu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…