The Hunter
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 1,049
- 306
Huwa najiuliza hawa waeka threads zenye title labda wadada tuu, wakaka tuu, wenye ndoa tuu, wamama tuu nk.
Huwa wanadhamiria kweli hao watajwa? je kimtazamo huwa wanalenga hisia flan ziwe kama zilivyo na pasiwepo na watu wa aina nyingine kutoa mawazo yao au kama ni tuhuma wale watuhumiwa wa upande wa pili wasipate nafasi ya kuchangia.
Me naamini hii si sawa, weka thread na usilimit watu, ili kusudi upate michango ya pande zote, maana dunia ya leo wote tunafahamu mambo ya jinsia zote, mfano
kama ukileta mada ya namna ya kumuhudumia mama aliyejifungua Then unasema kwa wamama tuu, ina maana hujui majira yetu leo hata wanaume tunawajibika kufahamu na kuhudumia inapobidi?
wadau sijui nyie mnasemaje?