Habari wa JF!
Nimenunua bundle vodacom then kabla sijaitumia inaniambia kitu kama hiki;`Your Ad-hoc Data Bundle Service Type has been migrated to MyMeg 50 Bolt-on Prepaid Data Bundle.`
Na hapo hapo nikiuliza salio inaniambia kwa sasa huna kifurushi chochote, hii sijaielewa ndugu zangu kitechnolojia inamaanisha nini, naombeni msaada wenu kwa yeyote anayeelewa hapa.
Thanx sana