Hii sijawahi kukutana nayo - msaada jamani

Aiseee (ndo mana doct anatakiwa awe mtunza siri) mi nilidhani kesha haribiwa mtandao pendwa.
 
Lakini MziziMkavu umesema shida ni haja kutokua laini!! Sasa nini kifanyike ili haja iwe laini??

Na je tukirudi kwa huyu jamaa...amesema hii shida imemtokea now days?? Kwanini imtokee kipindi iki (ukubwani) kwanini hamkutokea akiwa mdogo?? Maana wenda pia alipokua mdogo alipata hii shida ya haja kutokua laini!!! Embu naomba mwongozo katika hili mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…